Picha

Tazama Madrid Walivyotangulia Cardiff

on

Kikosi cha Real Madrid kimewasili salama jijini Cardiff kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya dhidi ya Juventus hapo kesho

 

Fainali hiyo itapigwa kwenye dimba la Millennium ambalo lina uwezo wa kuingiza watazamaji 74,000

 

Kocha Zinedine Zidane akishuka kwenye ndege

 

Fabio Coentrao na Pepe ndani ya ndege

 

Luka Modric na Bale muda mfupi kabla ya kupaa kuelekea Cardiff

 

Nahodha Sergio Ramos akishuka kwenye ndege

 

Danilo, Ronaldo na Marcelo wakiwasili jijini Cardiff

 

Karim Benzema akiwa na Raphael Varane

 

Ronaldo na Danilo ndani ya ndege

 

Mashujaa wa Real Madrid, Roberto Carlos na Raul Gonzalez nao wamejumuika na kikosi hicho kwa lengo la kuwapa motisha vijana hao wa Santiago Bernabeu

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *