Kitaifa

+VIDEO: Alichosema Niyonzima kuhusu Stars, Simba na Yanga

on

HARUNA Niyonzima ni mmoja kati ya mashabiki wengi waliohudhuria mchezo wa kufuzu michuano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) uliopigwa jana kwenye uwanja wa Nyamirambo hapa jijini Kigali kati ya timu ya taifa ya Rwanda ‘Amavubi’ na Taifa Stars.

Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana matokeo yaliyoifanya Amavubi kusonga mbele kwa faida ya bao la ugenini walilolipata juma lililopita kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwenye sare ya bao moja.
BOIPLUS ONLINE TV ilipata sekunde chache za kuzungumza na Niyonzima ambaye anatajwa kumalizana na Simba kuhusu maoni yake juu ya mchezo huo pamoja na hatma ya usajili wake.

Hiki hapa ndicho alichozungumza:

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *