Kitaifa

Waliyokubaliana wachezaji wa zamani Yanga na viongozi

on

MAKAMU mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga amekutana na wachezaji wa zamani wa klabu hiyo kujadili masuala mbalimbali yahusuyu maendeleo ya Yanga.

Kikao hicho kilifikia maazimio yafuatayo;

1.Kuwashirikisha katika masuala ya klabu na kuwaweka karibu na klabu.

2.Kujenga umoja wa wana Yanga kwa ujumla.

3.Kuunda safu ya uongozi wao itakayorahisisha mawasiliano baina yao na uongozi wa klabu.

4.Kuweka kumbukumbu kwa ajili ya historia ya klabu na vizazi vijavyo kupitia wao.

5.Kusaidiana katika suala zima la ugunduzi wa vipaji vya wachezaji kwa manufaa ya klabu.

Toa maoni yako hapa chini.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *