The sports Hub

WILDER vs FURY: Majaji Walivyogawa Pointi

0 68

Deontay Wilder ametetea ubingwa wake wa WBC uzito wa juu kwa kutoka sare na Tyson Furry.

Hizi hapa alama walizopata mabondia hao.

Jaji Alejandro Rochin wa Mexico amempa Wilder pointi 115 kwa 111

Robert Tapper wa Canada akampa Fury pointi 114 kwa 110 za Wilder.

Na jaji Phil Edwards wa Uingereza alitoa sare ya pointi 113-113 hali iliyopelekea matokeo ya sare katika pambano hilo.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.